Swali kwa Spika na Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Swali kwa Spika na Bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania.

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Je bado spika na bunge lake wanaamini watanzania wako salama dhidi ya utekaji?
Je spika una maoni gani tunaomba tamko la wabunge wetu kupitia bunge kuhusu usalama wa watanzania dhidi ya watekaji. Mods msifute wala kuunganisha uzi huu hili ni swali la raia kwenda kwa mamlaka yenye dhamana ya kuwasemea watanzania.
 
Speaker zimeunganishiwa waya tu lakini muziki anayepiga mwingine.
 
Unatarajia kwa jinsi alivyoumbwa atakuwa hata na chembe ya huruma?
 
Swali Hili tunaomba sisi raia tujibiwe na mhimili wa bunge ambao una dhamana na ndio watakuja kutuomba kura.
 
Ukiachilia mbali bunge/spika, na sisi wananchi pia tuna shida na matatizo makubwa sana. Tumepalilia sana ujinga tunaofanyiwa. Imefika mahali tunaweza kufanyiwa chochote tunaona sawa tu.
 
Back
Top Bottom