Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,483
- 2,392
Misukule ya Yericko.Nije kwenye Mada yangu moja kwa moja.Naiomba TFF utoe ufafanuzi wa Sheria juu ya MCHEZAJI ambaye hajakamilisha VIGEZO vya USAJILI wake je anaruhusiwa KUCHEZA?Na kama HARUHUSIWI mpaka akamilishe VIGEZO je ADHABU ya Kucheza kabla ya kukamilisha VIGEZO kwa Mujibu wa SHERIA za FIFA na TFF ni ZIPI?
Swali kaulizwa TFF mbona una kiherehere cha kujibu?Misukule ya Yericko.
Swali kaulizwa TFF haya imekuaje unajibu wewe punguza kiherehereAkili Kiazi
Swali kaulizwa TFF mbona una kiherehere cha kujibu?
Swali kaulizwa TFF mbona una kiherehere cha kujibu kwani wewe ni TFF?View attachment 2982144Jana Guede wangu kafunga bila Pacome kuhusika!
Kwanini Pacome anawauma?
Swali kaulizwa TFF punguza kiherehere
Swali kaulizwa TFF mbona una kiherehere cha kujibu kwani wewe ni TFF?
Tuelezee walikiukaje, tatizo unakuwa na kamati zaaamuzi ambazo waamuzi ni mawakili wa yanga na gsm hakuna haki itakayotokea.Hao hao TFF mlishawaambia wanakiuka vifungu vya sheria wakati wa sakata la Feisal na wengi mkasema na kuleta vifungu vyenu vya sheria. Leo mnakuja kuomba vifungu kwa wakiukaji wa sheria?
Kwahio TFF ndio wamo humu si uwafate Kwenye mitandao yao official huko au uwatumie Email..umeleta la nini humu?Swali kaulizwa TFF mbona una kiherehere cha kujibu?