mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,820
- 3,062
Habari Wana JF.
TRA Tanzania naomba ufafanuzi kwanini mfanyabiashara ambaye hayuko VAT akiuza bidhaa Kodi yake haikatwi kwenye faida badala yake anakatwa katika mtaji na faida kitu ambacho Kodi inakuwa kubwa ambayo inaelekea pengine wengi hukwepa Kodi(yaani kutoprint risiti za EFD)
Mtu aliyesajiliwa VAT Kodi yake inakatwa kwenye faida tu hivyo Hana hasara kuprint risiti na Wala Hana hoja mtu huyu kukwepa kuprint risiti
Bidhaa zingine zinakuwa Zina limit katika kuuza au zinakuwa Bei elekezi na bidhaa zenye Bei elekezi Huwa Zina faida ndogo hivyo huyu ambae hayupo kwenye VAT akiprint risiti almost faida yote inaenda TRA. Mf bidhaa inauzwa laki 1 faida yake elfu 20, aliyesajiliwa VAT Kodi inakatwa kwenye elfu 20 (20,000×18%\118%) =3,050/
Ambae hajasajiliwa VAT Kodi yake inakatwa kwenye laki Moja (100,000×18%\118%)= 15,254/
Hapo unaona tofauti iliyopo mmoja analipa kodi Tzs 3,050 mwingine Tzs15,254/
Hii inafanya wafanyabiashara kukwepa Kodi ambao hawapo registered VAT , Sasa kwanini hii rate iwe sawa kwa watu wawili? Ufafanuzi kidogo