Swali kwa TRA na NEMC

Swali kwa TRA na NEMC

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Naomba kufahamishwa kodi ya basi jipya la umeme toka China la thamani ya dola za kimarekani 6000 nitalipa sh ngapi..

Na ninyi watu wa mazingira je?mwaweza kunipa kibali cha unafuu niletapo basi hili?...nikiwa na maana kwamba halichafui mazingira....
 
Kwanza nimestuka basi la 6000 USD kwa basi mhh, nadhani ungeweka taarifa zako sawa kama vile lina uwezo wa kubeba abiria wangapi, jina la basi, modeli yake la mwaka gani limetengenezwa nchi gani maana umesema toka china linaweza kuwa ni la korea au japan manufacture. Ni ngumu mtu kukusaidia kama taarifa hizi muhimu hazijakamilika ila nijuavyo mimi kujua garama tra hawaangalii bei kama ulivyoweka bali wanacheki taarifa kama nilizokupa ni muhimu sana. Ila bei hiyo cheki tena kama ni sawa ningeshaona shabiby au Aboud kashachukua bei ndogo sana kwa basi 6000 usd.
 
Back
Top Bottom