ze farmer
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 922
- 1,804
Sifa moja ya kodi ni kuwa comprehensive kwa maana ya inatakiwa kucover eneo kubwa na sio kuwapa burden watu wachache walipe kodi.
Sasa.
Kuna hawa jamaa wenye nyumba za kupanga inshort wanapokea bilions of money every month na hakuna kodi wanachajiwa ukitoa ile 10,000 ambayo hata nyumba za kawaida tu tunatoa.
TRA vipi mmelala au hamtumii taaluma zenu mmebaki kushinda kumnafukuzana na mama ntilie.