aisee hii nishawahi kuiona ila mbilinge halikuwepo wala nini kila mtu na maisha yake,huwa kwenye kitengo cha mapenzi hawaingiliani,ila SHARTI ni lazima uje na kitu Bomba sio uje na kitu cha ovyo.ɟɟo ƃoןɐu
Dada ndio anatakiwa aje na kitu bomba,sio aje na mgema ulimbo wanamtimua akijifanya ngangari wanamwitia mwizi.ɟɟo ƃoןɐunani aje na kitu bomba?
dada?????
Kama nyinyi ni wakaka...mnaishi na dada yenu mwenye ajira yake
wote ni above 25 au hata above 30
lakini mnaishi nyumba ya familia bila wazazi.....
na nyinyi vidume mnaleta 'mizigo' na kubadili 'warembo'
bila kuulizwa na mtu.....
je siku dada yenu akileta 'mtu' mpaka asubuhi....mtafanyaje??????
na ikitokea 'mlivumilia' siku hiyo
akaja kuleta 'kidume' kingine mtafanyaje???
kumbuka dada yenu ni mkubwa na anajitegemea lakini...
nyumba ni yenu wote.....
Mh!Kwa mazoea patakua hapatoshi lazima dada achezee kichapo.Lakini kwa kutumia akili mnakaa kimya na kutulia kimya kwani ni ngoma droo!Mbwa kamla Mbwa!
The Boss
Mlivumilia? How is it that sistee living her life how she sees fit, means kaka anavumilia????? Anyways I think depending on how close the people involved are kama kaka mtu ana mind, then he can and should mention.
Side note
Ila duh, I have two young bro's who, when I imagine being questioned by them re:" my love and/or s*x patners choices sipati picha kabisaaaaaaaaa........labda wangekuwa wakubwa wangu
The Boss kama ni mimi, wala hilo lisingenisumbua kabisa, kwani naamini kwamba dada yangu ni binadamu aliyekamilika na ana uhuru wa kuutumia mwili wake atakavyo, kama vile mimi ninavyoutumia mwili wangu nitakavyo.
sidhani kama wakaka watavumilia kuona sisy wao analeta kama wao wanavyoleta! nimeona mara nyingi akina kaka huwa wana wivu na dada zao, dada anaweza asiwe na tatizo dhidi ya kaka zake labda ushauri mdogo mdogo pale kaka anapozidisha kubadili wanawake
kwanza kabisa mie ni great bliver kuwa no family member should bring shame to the family name.....sasa kaa huyu dada anaanza kuleta vidue humo ndani itapidi apewe kalipio kuwa hii tabi sio nzuri. sikatai wewe kuwa na bf but sio waja nae hapa home....utaleta wangapi?
nenda guest house au kwa huyo jamaa poa tuu but not hapa home
Mh!Kwa mazoea patakua hapatoshi lazima dada achezee kichapo.Lakini kwa kutumia akili mnakaa kimya na kutulia kimya kwani ni ngoma droo!Mbwa kamla Mbwa!
wewe unaonaje?ni sawa au sio sawa kwa mdada kuwa huru
kubadili vidume home?
ndio nao lazima waende guest...kwa sababu tunashare hii nyumba basi lazima wote tukubaliane kuwa everybody ambaye anakuwa na gf/bf basi no sleeping hapa nyumbani....hapo hakuna mazungomzo.na wakaka je?nao waende guest?
Eiyer
Hivi miaka hii kuna kaka , especially wadogo wanaweza kuwapiga dada zao?Duh,,,,,,,,,,,,,,If there is basi lazima mimi nitakuwa naisha kwenye bubble!!??