swali kwa wadada na wakaka

wengine hawabadili kwa kutaka...
na hawapendi kwenda gesti pia...
anakuwa na wa kwanza...anamleta home..bahati mbaya wanaachana..
anapata mwingine,pia anamleta home....aende wapi????
 
Na hao wanaofanyia upuuzi wao nyumbani kwa msichana watakuwa hawanazo!

hujawahi kulala kwa mwanamke 'asubuhi' ndo ukagundua
anaishi na kaka zake?
we unazungumzia msichana...
je wadada wakubwa above 35???
wengine anakwambia hotelini sitaki...
njoo kwangu,unafika ndo unajua yuko na wadogo zake..
 
Lakin TB, mpaka ukalale kwa msichana/mwanamke ni lazima umfahamu vizuri...lazima utakuwa umeshafahamu anaishi na nani na relationship status yake ipoje usijekuta ni mke wa mtu!!
 
Lakin TB, mpaka ukalale kwa msichana/mwanamke ni lazima umfahamu vizuri...lazima utakuwa umeshafahamu anaishi na nani na relationship status yake ipoje usijekuta ni mke wa mtu!!

wanasema in life if you follows all the rules,you missed out the fun.. lol..
 
wanasema in life if you follows all the rules,you missed out the fun.. lol..
Aise ngoma za fasta fasta ishu sana!! ikitokea kabisa na huna jinsi basi piga fasta the kimbia usiku huo huo..!!!
 
Aise ngoma za fasta fasta ishu sana!! ikitokea kabisa na huna jinsi basi piga fasta the kimbia usiku huo huo..!!!

nafikiri hujanielewa
sijizungumzii mimi hapa...
mimi huwa na sitawahi kulala kwa mwanamke nisiyemfahamu vizuri....

hapa nazungumzia kwa ujumla mambo yanayotokea katika jamii
na migogoro yake...
 
wengine hawabadili kwa kutaka...
na hawapendi kwenda gesti pia...
anakuwa na wa kwanza...anamleta home..bahati mbaya wanaachana..
anapata mwingine,pia anamleta home....aende wapi????

aaaaah! sasa nimekuelewa nilidhani ni ile style ya leo uko na huyu ks na mwingine,lkn ulichokisema hizo zote ni hatua ktk mapenzi na nadhani mdada atakapobreak na mpenzi aliyekuwa anafahamika ni vema akawaeleza kaka zake kilichotokea na akipata mwingine akafeeli kuwa anahitaji kumtambulisha aweza kufanya hivyo na maisha yakasonga mbele,ila kiukweli ku-do kny nyumba ambayo mabraza wako ndani naona ni ngumuuuuuuuuuuuu!
 
nafikiri hujanielewa
sijizungumzii mimi hapa...
mimi huwa na sitawahi kulala kwa mwanamke nisiyemfahamu vizuri....

hapa nazungumzia kwa ujumla mambo yanayotokea katika jamii
na migogoro yake...
Nilikuelewa TB, niliposema ikitokea huna jinsi kabisa, nimemaanisha kwa mtu yoyote,,,sikumaanisha wewe in particular...sorry kama nimekuoffend!
 
nimewahi kwenda 'out' na mdada ambae ameongozana na kaka yake mdogo but over 18
twice....na ilikuwa first date lol...
tulikaa wote bar tunapiga story na kunywa...halafu muda wa kuagana...kaka akatangulia ili
tupate mda wa 'kuzungumza'
lol..

See......there is a respectful bro'
 
Hili nahisi si suala la kulitatua kwa jazba za kimfumo dume au mfumo beijing bali kwa maadili, heshima na mazungumzo kati ya wahusika.

Binafsi nisingeweza kuleta msichana "wa kupita" nyumbani ninapoishi na yeyote wa familia yangu, hata awe kaka au mdogo wangu wa kiume. Chapchap zangu nje!

Ikiwa nimepata mchumba nitamjulisha kwa dada yangu. Pamoja na hayo, sioni kama itakuwa heshima kwangu na kwa dada yangu kumleta huyu mchumba nyumbani kwa kulala. Usipofanya hivyo, unaweka misingi ya maadili nyumbani mwenu na dada yako ataiga hivyo hata bila ya kumwambia. Kama atafanya, mwambie awache! Lakini ikiwa wewe kaka unaleta wako, kwa nini na yeye asilete? Nongwa za nini?
 
Mbona wa kaka watulie2 sababu haki sawa,na haijalishi nije na mmachinga au mchina wa kariakoo kama moyo wangu ndio umemchagua itabidi watulize tuu,heshima ndio muhimu .......
 
Umenena vema Mammamia,hujambo lakini?
 
Umenena vema Mammamia,hujambo lakini?
Mi mzima Prishaz, wewe tu!
tatizo la hili suala ni ama madume ((wengine) wanadai haki za kuwa wao ni madume hivyo wana haki za kufanya watakalo. Kwa upande wa wadada (wengine) wanadai haki zao za wanawake. Haki zetu tunaweza kuzitetea zaidi ikiwa tutatanguliza heshima mbele.
 
Duh, ukiweza fanya hivyo jua hao kaka zako wooote ni WAVULANA

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…