Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Unajua hata familia tunazoishi ni kama nchi kila moja na utawala wake na sheria zake.
Kuleta mwanamke au mwanaume nyumbani, si tu kwa kaka/dada hata baba mwenye familia mwenyewe haruhusiwi kuleta mwanamke nyumbani na kulala naye hata kama ni mjane. Apige mechi za mchangani aje nyumbani mwepesi. Kama atamleta huyo mwenzi wake aje kama mgeni lakini si kupiga mechi nyumbani vinginevyo amuoe na familia imkubali kama member mpya wa familia. The same applies kwa mama mwenye nyumba.
Sasa hawa karumekenge wengine, hata kama hakuna wazazi na mnaishi kisela na kila mtu anajitegemea na ana maisha yake binafsi kuja kupigia mechi home, mimi nachukulia like abormination to familyhood. Haijalishi waliopo ni wadogo au wakubwa wala jinsia.Tena kwa mtu above 30 na ana kazi kama hapendi kulala gesti basi asifanye kabisa maana kupanga ni kuchagua.
Ataruhusiwa kuja kulala nyumbani na mkewe au mumewe tu.
Kama familia yenu wenyewe mtaidharau na kuifanya danguro nani ataiheshimu? Afu mzae watoto wawe vicheche kuanzia vidudu mtasingizia TEHAMA?
Its a big NO kwa member yeyote kupigia mechi nyumbani na mtu ambaye si mkewe wala mumewe. Naona ikifikia point hiyo mtakuwa mmekaribia na kuuza nyumba mgawane urithi.