Maundumula
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 7,553
- 3,081
kama nyinyi ni wakaka...mnaishi na dada yenu mwenye ajira yake
wote ni above 25 au hata above 30
lakini mnaishi nyumba ya familia bila wazazi.....
Na nyinyi vidume mnaleta 'mizigo' na kubadili 'warembo'
bila kuulizwa na mtu.....
Je siku dada yenu akileta 'mtu' mpaka asubuhi....mtafanyaje??????
Na ikitokea 'mlivumilia' siku hiyo
akaja kuleta 'kidume' kingine mtafanyaje???
Kumbuka dada yenu ni mkubwa na anajitegemea lakini...
Nyumba ni yenu wote.....