Swali kwa wadada

Swali kwa wadada

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mi nawatafutaga hao wenye hayo majibu! Hivi wapo mitaa gani...
 
Wana mchanganyiko wa udongo na mifupa hao......
 
Kuna udongo wa aina nyingi sana,
Udongo kichanga
Udongo tifutifu
Udongo mfinyanzi

Kwa hiyo akisema we sio type yake hajakosea pengine udongo ni tofauti!
 
wameumbwa kwa mchanganyiko wa matope na matakataka ya jalalani.
 
Back
Top Bottom