Swali kwa wadada

Hv ni kwanini nyie kila siku huwa hamna nauli!?

Hela zenu mnapeleka wapi!?? Kila siku mnataka mtumiwe nauli, khaa! Mtu yupo Ubungo anataka atumiwe nauli ndio aje Kimara mwisho.

Na ya kutolea
Kwa sababu usafiri ni shida sana itabidi tuwe na ya ziada ili tufike haraka[emoji23]
 
Sasa unamwita mtu kwa shida zako mwenyewe halafu atumie nauli yake wewe ndo kwenye shida siyo yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…