Je kwa nyakati hizi za sasa za Polisi, Usalama wa taifa wa kujihusisha moja kwa moja na chaguzi na kunyima demokrasia. Kuna mbinu gani tofauti Mbowe akiwa mwenyeti kwa miaka mitano atazitumia ambazo ni tofauti na mbinu alizozitumia kwa miaka 20?
Hii itasaidia kujua kusudi lake hasa la kugombea na sio kugombea kwa mazoea tu. Chadema lazima ibadilishe mbinu na kwa wale wanao taka Lissu achukuwe kijiti ni kwasababu wanafikiri Lissu atakuja na mbinu tofauti .
Sasa kwa wale wa Mbowe jibuni swali bila kumuingiza Lissu au kuweka mambo mengine jibuni swali la msingi