Swali kwa wahenga

Swali kwa wahenga

PAZIA 3

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2018
Posts
1,102
Reaction score
1,919
Kwanini Hayati Sokoine,alipewa uwaziri mkuu kutoka 1977-1980 kabla ya Cleopa D.Msuya kuwa waziri mkuu na baadae Sokoine kurudishwa katika kiti hicho cha uwaziri mkuu?
 
Kwanini Hayati Sokoine,alipewa uwaziri mkuu kutoka 1977-1980 kabla ya Cleopa D.Msuya kuwa waziri mkuu na baadae Sokoine kurudishwa katika kiti hicho cha uwaziri mkuu?
Ndivyo ilivyokuwa 1980 Sokoine aliomba kupumzika.Hata hivyo Maliya naye aliula mara mbili
 
Back
Top Bottom