Swali kwa wajuzi wa Kiswahili:"executioner" inatafsiriwa vipi Kiswahili.

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Mtu anayefanya kazi ya Mahakama ya kunyonga watu,anaitwa vipi? Jina lake limenitoka. Najiuliza miaka kumi sasa. (Kiswahili anaitwa vipi)." The hangman",siyo "assassin", just the hangman,anaitwa vipi Kiswahili?
Naona tafsiri hapa;"mchinjaji","mnyongaji". Certainly ni "mchinjaji" na "mnyongaji",lakini lipo neno lingine.
 
Nitarudi kusoma Waswahili watakachokiandika
 
Nasikia kuna Mnyongaji Mkuu wa Serikali
Ss sijui kama kweli au la
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…