Swali kwa Wakenya: Bado mnamhitaji Magufuli awe Rais wenu?

Magufooool kachezea watanzania karata, kweli bongolala ni bongolala.
 
Kosa la Rais Magufuli kwa Wakenya liko wapi?
Ni maamuzi yake ya kijinga.yasiyozingatia maslah mapana ya mahusiano ya kidugu yaliyojengeka tokea uasisi wa mataifa haya mawili.
 
Yupo msomi mmoja anajiita Lumumba bado anajipendekeza
 
si sawa kumfafananisha JPM na materrorist....nyie Jubilee mnamshindwa Raila mtamuweza JPM..na hizo lori mnadhani wanaokuja hayo mazao ni watanzania pekee?
Haya mambo yanahitaji hekima na busara kuyashughulikia sio siasa na ubabe
 
Reactions: Oii
We fala Sana,kwani Magufuli anaongoza wakenya au Wtz?
 

ukisikia upumbavu huu ndiyo namba moja. wee unafikiri JPM ana muda wa trivial issues kama vifaranga.

kwanza kama JUBILEE ndiyo walioongea hii kauli, nawapa pole wakenya.
 

una uelewa wa hali ya juu sana kwenye issues hizi.
yaani wale vijakazi wa mafisadi kutwa kumlaumu rais. usikute hata yale mafuriko ya Dar majuzi wanamlaumu rais. useless.
 
ukisikia upumbavu huu ndiyo namba moja. wee unafikiri JPM ana muda wa trivial issues kama vifaranga.

kwanza kama JUBILEE ndiyo walioongea hii kauli, nawapa pole wakenya.
Ukisikia ufala ndio huu, umeelewa kinachosemwa? Jpm kwa nini kila kitu lazima ajibishane?
 
Hamna nchi ambayo haiwezi kutaka usimamizi wa rasilimali wa Magufuli! Hapa watamkataa kwa vile anawafinya.
 
Ukisikia ufala ndio huu, umeelewa kinachosemwa? Jpm kwa nini kila kitu lazima ajibishane?

huna ujualo wewe kijakazi wa mafisadi ambao kazi yenu sasa haipo tena. imebakia kupinga kila kitu anachosema au anachofanya rais.
 

Some of the responses here....

https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2017/04/158991_bdc0cebf46245aa74bdcd075fb0f3e4d.gif
 
Nchini kenya wengi wanampenda rais Magufuli kwa vita vyake vya ufisadi..lakini watanzania wengi nimekutana nao wanalakamika.MBONA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…