chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
Nasema mbona wengi wabongo hawamtaki Magufuli
Chezea Jubilee wewe. Ukidhani ndo umewaweza hesabu na karata zilichapwa kitambo wewe ndo utaambulia patupu. Hehe anaitwa Uhunye.ukisikia upumbavu huu ndiyo namba moja. wee unafikiri JPM ana muda wa trivial issues kama vifaranga.
kwanza kama JUBILEE ndiyo walioongea hii kauli, nawapa pole wakenya.
Punguza mirungi kijana, baada ya kupambana na wanamgambo feki wafuasi wa RAO uchaguzi miezi karibia miwili. Unadhani tulimchagua kimzahamzaha? 1 Uhuru Kenyatta= 15 Magufulis, tz watabaki na deni letu.Aise mtupe simba Magufuli tuwape uhuru Kenyatta
Uhuru mvutaji bangi..muuaji..mfisadi..sijaskia amekemea ama kuwasimamisha kazi wafisadi kama Simba MagufuliPunguza mirungi kijana, baada ya kupambana na wanamgambo feki wafuasi wa RAO uchaguzi miezi karibia miwili. Unadhani tulimchagua kimzahamzaha? 1 Uhuru Kenyatta= 15 Magufulis, tz watabaki na deni letu.
Mwanzoni kelele za Wakenya zilikuwa kwamba wanatamani Magufuli aende kuwa Rais ingawa Watz wao hali ilikuwa tofauti!
Je , Wakenya wakiulizwa Sasa bado wana majibu yaleyale au wamebadili gia angani?
Wandishi WA habari pamoja na watu mlioko Kenya nisaidieni kuwahoji Wakenya
Mpaka juzi juzi tu bado Uhuru alikuwa anasema atakuwa kama Magufuli, na wakenya wote wakapiga nduru ya oyeeeeeeeeee!!Kosa la Rais Magufuli kwa Wakenya liko wapi?
Tembea kwenu Somaliyaa uone Uhuru alivowasaidia. Siku hizi hata maji ya kuchambia baada ya kushiba Ugali wa Kenya mnapata jombaa.Uhuru mvutaji bangi..muuaji..mfisadi..sijaskia amekemea ama kuwasimamisha kazi wafisadi kama Simba Magufuli
We mwenyewe macho yako ukiyaona utakubali muonekano ni kama ndo sasa unabonyeza kidude ujilipue! Hahaha.Uhuru kenyatta ukiangalia macho Ake vizuri hafai.chai yake ni pombe
Toka lini mwizi akafurahia ujenzi wa kituo cha polisi mtaani kwake??Nasema mbona wengi wabongo hawamtaki Magufuli
Wawaulize Nape na Sadifa makada kindakindaki jinsi walivyochoka na hii CCM!Hata CCM wenyewe hawana hamu [emoji23] [emoji12] !!!