Kwa walevi wenzangu wa kahawa...kwa kweli nateseka sana kisaikolojia bila sababu.
1.Hivi kwa nn vikombe vya kahawa vidogo namna hii
2.Na je kwa nn vikombe havina mikono
3.kwani muuza kahawa lazima akusimamie tena anakutumbulia mimacho,kwa nn asiende mbali kama wauza bia
4.Hivi hii kahawa yetu huku Tanzania mbona kama uchungu umezidi