ms babysitter
Member
- Nov 2, 2014
- 55
- 5
SALAAM,
Swali langu ni je mhitimu wa ngazi ya shahada katika fani ya elimu anaweza kupata post ya ajira hata kama bado hajakamilisha vizuri masomo yake? Namaanisha labda bado ana supplimentary au carry?
Msaada kwa wenye ufahamu tafadhalini!