kila mwaka utaratibu unabadirika kutokana na mahitaji siku za nyuma hata ukiwa na carry over ulikuwa unaajiriwa then muda wa kusoma ukifika unapewa ruhusa, baadae wakawa wanaajiri wenye sup na si carry hii nimeishuhudia mpaka 2014/2015.sasa wamesema hawana shida kubwa na walimu kwa sasa hasa wa sayansi ya jamii hivo wataajiri wachache kuziba mapengo.je hapo mwenye carry au sup ategemee?
TAFAKARI CHUKUA HATUA