swali kwa waliooa au kuolewa?

Smarty

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2011
Posts
776
Reaction score
428
hivi ni kweli baadhi wanaume waliooa wanavaa kufuli za wake zao??? Na akina dada nao wanajisevia boxa za waume zao?? Nauliza tu jamani??
 
Siri za ndoani unazitakia nini???!Oa/olewa na wewe ukajionee mwenyewe!!
 
Halafu ukiisha jua kuwa ni kwel au co kweli,utachukua ha2a gan?
 
Halafu ukiisha jua kuwa ni kwel au co kweli,utachukua ha2a gan?
sidhani kama ni kosa sana mpaka wahusika wachukuliwe hatuwa. We utakuwa law enforcer maana haya maneno yako.
 
Hahahaha wachekesha kweli hutegemea na mazoea ya wanandoa ila ukitaka uhakika ingia ktk uwanja huu wa ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…