Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
ndio vizuri ili wabadilike
mmmhh kwa kweli mie naona ni vigumu kumfaham partner wako ka yuko humu..
kwani nafikiri wanaotoa hizo poster/thread lazima wa chakachue kidogo ili hata huyu
partner akiona asisisimke sana...
na utakuta anajiita jina la ajabu ... mie na dhani kuna namna watu ambao sio single wanaitumia
ili wasijulikane..
mimi wangu nilimuuliza vp upo jeiefu akasema no no no. Na muda mwingi niponae hapendi ku.surf kiiivyo. So mie niko huru mwenzenu.,,
kumbe huwa hunijui eeeh
mimi sioni tatizo hata kama akijua, ili mradi hukuwa na nia mbaya. hata akikasirika mtaeleweshana tu na mtayaaliza tu manake hakuna mwigine anayejua. mfano mimi majuzi nilieleza kisa fulani na nikasema kimenipa furaha kubwa sana siku ile na nilimjulisha mhusika na nikamwomba afungue Jf ili aone mwenyewe watu wanvyochangia na alifungua na alifurahi sana. japo kulikuwa na post alitaka nimweleweshe zaidi na nilifanya hivyo bila tatizo na alinielewa.
tatizo watu wengi si wawazi. kama kweli mna matatizo na partner wako unashindwa nini kukubaliana naye mlete hapa tatizo lenu huku wote mkijua tena ikiwezekana muwe mnafuatilia majadildiano mkiwa mmekaa pamoja ili kupata instant reactions za watu? au kama mmoja ameleta amjulishe mwenzie naye afuatilie kwa wakati wake au kama yuko bize, aprint posts za wachangiaji kwa mtililiko mzima ampelekee naye asome. hapo ndipo forum hii itakuwa na maana vinginevyo tutaishia kuchangia mawazo mazuri tu lakini hayawafaidishi watu

Usiogope, kama ww una bomu unataka kulishusha kuhusu partner wako shusha hatutamwambia kuwa ni ww umetuminyia hiyo siri, ila vipande vyake atavipata na lazima ajirekebishe kwa kujihisi tu.
Jamani mimi nimekuwa nikijiuliza hili swali:
Hivi mtu anapoleta shida yake hapa jamvini...hasa inapomhusu partner wake, ni kwamba huyo partner wake yeye huwa hatembelei maeneo haya ya JF??? Maana jinsi wahusika wanavyo elezea the whole situation, inakuwa so detail! mbona inakuwa rahisi kwa partner kujua kwamba hii inafanana na ya nyumbani kwake? Je, hauoni kuwa unaweza ukasababisha kukosekana kwa amani nyumbani , partner wako akianza kuhisi kuwa umesimulia jamii matatizo yake??
Nyie mnasemaje hapo?
Asanteni kwa mawazo yenu. Ni kweli matatizo yanaweza yakawa yanafanana kwa wengi, ila kuna wengine kweli wanatoa detail za kutosha kabisa kujua hapa ni mimi nasemwa! Na sio rahisi kubadilika kwa haraka hivyo, kwamba umemuanika hapa jamvini akajiona then ajirekebishe!!?? sina uhakika kwa kweli!
Ila mimi ninavyofikiri na kuamini, ukiona partner wako ana tatizo kwanini usimwambie, ili mjaribu kutatua tatizo kwa pamoja na kutafuta ushauri kwa wengine???! Ninaamini katika mawasiliano ya pamoja, yanapelekea kujenga upendo zaidi na kuaminiana kuliko kupelekea jamii kwanza!!!
Jaman hii ni kweli me nilimwaga mada hapa jamvini, ex wangu akanicall y namwaga mambo jamvini? Alinipm kwa jina la kjf bila kumjua nikampa information. Sasa yamefika kwa mshenga na wajomba. Full kulaumiwa na familia.