Swali kwa Wana Kawe

Swali kwa Wana Kawe

Halaiser

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
4,230
Reaction score
6,653
Habari Wakuu. Naomba niwaulize Wananchi wa Jimbo la Kawe: Mh Gwajima.(Mbunge) alitekeleza ile ahadi yake ya kuwanunulia Boti ya uvuvi vijana wa Jimbo hilo??

Hapana hajawanunulia, pia aliahidi kuboresha mifereji ya kumwaga maji baharini
 
Habari Wakuu. Naomba niwaulize Wananchi wa Jimbo la Kawe: Mh Gwajima.(Mbunge) alitekeleza ile ahadi yake ya kuwanunulia Boti ya uvuvi vijana wa Jimbo hilo??

View attachment 2973496

Ndiyo siasa za Bongo hizo .... ni UONGO UONGO tu. Usipokuwa muongo hufanikiwi.

Hapo hapo bado kuna ile ahadi ya kuwapeleka wana Kawe Birmingham.

Hivi kuna Mchungaji MUONGO kuliko huyu Bwana kwa Tanzania yetu ....!!?
 
Yupo mchungaji Msigwa wa Chadema 🐼
 
Back
Top Bottom