swali kwa wanajamii

swali kwa wanajamii

3ddl3

New Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
2
Reaction score
0
Naombeni msaada wenu kuhusu namna ya kutafuta full scholarship kusoma vyuo vya nje kama USA au UK,Na jinsi ya kujua kama link unayotumia ni ya chuo husika au hackers!nitashukuru zaidi kama unani inform kwa private message.thanx in advance
 
Back
Top Bottom