Ikengya
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 614
- 178
Habarini za wakati huu wadau wa ili jukwaa?
Hivi kwaninini kila waziri anayechuku wizara ya elimu lazima aje na kitu chake cha kushangaza jamii? Je, hii inatokana na kukosekana kwa dira madhubuti ya Elimu?
Kuna baadhi ya matukio ya kushangaza yaliyowahi kufanywa na hiyo wizara chini ya mawaziri tofauti na haya ndo naweza kumbuka.
1: Kufutwa kwa mtihani wa taifa wa form II
2: 1993 Wanafunzi walipanda Form III kwa ufaulu wa wastani wa 14 badala 21
3: Kuacha kutoa vyeti darasa la saba na baaadae kuvirudisha
4: Kufutwa kwa mtihani wa kidato cha II na kuurudisha tena
5: Kufuta mtihani wa darasa la nne na kuurudisha tena
6: Kuunganisha baadhi ya vipindi katika shule za msingi na sekondari eg Physics na Chemistry, History na Geography
7: Kumurundikia mtoto wa darasa la kwanza vipindi lukuki mpaka kushindwa kutimiza matakwa ya KKK (3R)
8: Watu kusomea ualimu wiki tatu.
10: Kuondoa michezo mashule na baadae kuirudisha
Mengine mtaongezea
Hapa tunakosa nini mpaka watu wanavurugavuruga hivi hii elimu ya nchi yetu?