Jolebatawi
JF-Expert Member
- Dec 10, 2011
- 549
- 230
Huna sifa za kuwa TA unataka uitweje??? Mtu umepata Div 4 kidato cha sita, chuo umetoka na PASS, ghafla unataka uwe TA. Nenda kaombe kazi halmashauri ya wilaya ya Nanyumbu, kuna vacancy ya tea lady
Huna sifa za kuwa TA unataka uitweje??? Mtu umepata Div 4 kidato cha sita, chuo umetoka na PASS, ghafla unataka uwe TA. Nenda kaombe kazi halmashauri ya wilaya ya Nanyumbu, kuna vacancy ya tea lady
Mods wachukulieni hatua watu kama hawa wanaotoa kejeli na matusi jukwaani.
Wanashusha heshima ya JF.
Wadau hivyo ndivyo tangazo linavyosomeka kwa walioitwa kwenye oral interview pale udom kwa baadhi ya post kama vile graduate nurse n.k,,lakini kuna baadhi ya post hasa academic post kama vile tutorial assistants,lecturers e.t.c sijaona walioitwa namimi nilitupia kwenye TA(Tutorial Assistant),,Ningeomba kwa mwenye taarifa anijuze kama zenyewe bado au tayari walishaitwa?
Nawasilisha Kwenu Wadau.