Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Wana JF,
Hivi watu walio katika ndoa kuna haja ya kwenda kucheck/kupima VVU mara kwa mara?
Hivi watu walio katika ndoa kuna haja ya kwenda kucheck/kupima VVU mara kwa mara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukishaelewa virusi vinapatikana kwa njia gani na gani kuna umuhimu, si wote au si lazima upate hivyo virusi kwa kuchepuka tuu, kuna mengi. umuhimu upo
Huyu anatakakujua aina za condom zilizoimara basi mpe zile zako mkuu unazotumiaga zimsaidie
mbona huwa unapima malaria.....loading error
Muhimu sana, kila mwisho wa mwezi
Loh unapoelekea unakuja na
KILA SIKU
Kama hamuaminiani, ni vizuri kupima
Na itokeapo mmoja wenu amesafiri kwa muda mrefu sana ni vizuri mkapima pia.
Mkitengana kwa muda ni vizuri kupima pia.
kila siku haiwezekani, ila mwisho wa mwezi ndo safi
wakati wanbleeding ndio muda muafaka
Una ndoa nae?Umeooonaa sijui na HUYU TUKAMPIME ALITUTENGA MUDA KIDOGO