Swali kwa wanandoa: kuna haja ya kupima VVU ukiwa ndani ya ndoa?

Mandla Jr.

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2013
Posts
3,098
Reaction score
631
Wana JF,

Hivi watu walio katika ndoa kuna haja ya kwenda kucheck/kupima VVU mara kwa mara?
 
ukishaelewa virusi vinapatikana kwa njia gani na gani kuna umuhimu, si wote au si lazima upate hivyo virusi kwa kuchepuka tuu, kuna mengi. umuhimu upo
 
ukishaelewa virusi vinapatikana kwa njia gani na gani kuna umuhimu, si wote au si lazima upate hivyo virusi kwa kuchepuka tuu, kuna mengi. umuhimu upo

Huyu anatakakujua aina za condom zilizoimara basi mpe zile zako mkuu unazotumiaga zimsaidie
 
Huyu anatakakujua aina za condom zilizoimara basi mpe zile zako mkuu unazotumiaga zimsaidie

atasubiri sana tuu, hivi kweli upewe pipi ya ivory halafu ulena maganda yake utamu utaupataje???!!!
 
Hahaaaaaaa ma ribs mie Loh

Huyu kashapasukiwa na Yale ma salaama wamepulizia air freshener yaani rohooyanguu ninii
 
Kupima ili kuijua status yako haijalishi umeoa au kapera. Hata hivyo mlio katika ndoa mnatakiwa kutest HIV-AIDS mara kwa mara kwani mpo kwenye risk group ambalo kuambukizwa ni rahisi na hii inatokana na wanandoa kujiamini na kupuuzia kuzikwepa njia za maambukizi ili hali wengi wao wakiwa si waaminifu.
Njia za maambukizi si kujamiiana peke yake zipo nyingi ambazo wengi hamjazishitukia bado kama; kushea vikata kucha vya wapaka rangi za kucha mtaani, vitana salon, kujazana kwenye madaladala na kugusana flesh by flesh na nyingine jazia. So, kupima ni muhimu.
 
Kama hamuaminiani, ni vizuri kupima
Na itokeapo mmoja wenu amesafiri kwa muda mrefu sana ni vizuri mkapima pia.
Mkitengana kwa muda ni vizuri kupima pia.
 
Kama hamuaminiani, ni vizuri kupima
Na itokeapo mmoja wenu amesafiri kwa muda mrefu sana ni vizuri mkapima pia.
Mkitengana kwa muda ni vizuri kupima pia.

Umeooonaa sijui na HUYU TUKAMPIME ALITUTENGA MUDA KIDOGO
 
Attachments

  • 1403785470921.jpg
    228.6 KB · Views: 56
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…