Wandugu, je mahakama ya kazi nini majukumu yake hasa? ni kusuluhisha tu migogoro ya kazi au inaweza kushitaki?? Je hili la mahakama ya kazi kuwaamuru chama cha madaktari kusitisha mgomo wakati sio MAT walioitisha mgomo limekaaje kisheria??
Tunaomba mtusaidie mnaojua sheria maana sisi wananchi tunaona kama serikali imeiingiza Chaka mahakama katika hili, na ni ujanja ili lisiendelee kuopngelewa popote Bungeni au kwenye vyombo vya habari kwa kisingizio kwamba liko mahakamani!