KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,370
- 5,381
Naomba nilielekeze swali hili kwa viongozi, wanachama, wapenzi, wakereketwa, wafiatimu, mashabiki wa Simba Sports Club.
Mmejipangaje na shirikisho msimu huu.
Hivi mnajua kuna kutolewa kwenye mashindano hayo.
Mtaliambia nini taifa siku yakiwakuta ya wana lambalamba na wagosi wa kaya.
Sioni muelekeo wenu wa maana kwenye michuano hii zaidi ya kumbwela mbwela tu.
Mjitathmini sana.