Kwamba 'NDWELE' imeshawahusu?
Lakini walisesema bado wanajitafuta..!! Cha ajabu wanajitafutia mashindanoni badala ya mazoezini.!!Wajitathmini kwanza.
Infact wanaliaibisha taifa
Wacha watolewe tu.Naomba nilielekeze swali hili kwa viongozi,wanachama,wapenzi,wakereketwa,wafiatimu,mashabiki wa Simba Sports Club.
Mmejipangaje na shirikisho msimu huu.
Hivi mnajua kuna kutolewa kwenye mashindano hayo.
Mtaliambia nini taifa siku yakiwakuta ya wana lambalamba na wagosi wa kaya.
Sioni muelekeo wenu wa maana kwenye michuano hii zaidi ya kumbwela mbwela tu.
Mjitathmini sana.
Tuliimiss sana hii mwn.Sisi ndiyo Simba SC AKA;
1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Mikia SC.
8. Mazumbukuku SC.
9. Manyaunyau (mapaka) SC.
10. Manyang'au SC.
11. Miso Misondo SC.
12. Mwakarobo SC.
13. Mazombi SC.
14. Kolokhamsa SC.
15. Kolowizards SC.
16. Kinyume nyume SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Bahasha SC.
20. Ngada SC.
21. Miso Misonda SC.
22. Kufa Kiume SC. View attachment 3097603
π©Naomba nilielekeze swali hili kwa viongozi,wanachama,wapenzi,wakereketwa,wafiatimu,mashabiki wa Simba Sports Club.
Mmejipangaje na shirikisho msimu huu.
Hivi mnajua kuna kutolewa kwenye mashindano hayo.
Mtaliambia nini taifa siku yakiwakuta ya wana lambalamba na wagosi wa kaya.
Sioni muelekeo wenu wa maana kwenye michuano hii zaidi ya kumbwela mbwela tu.
Mjitathmini sana.
Wanajitafuta kwenye mashindano badala ya mazoezini, angalizo kwenye mazoezi pia inategemea unacheza na timu ganiLakini walisesema bado wanajitafuta..!! Cha ajabu wanajitafutia mashindanoni badala ya mazoezini.!!
Basi Chifu nimerejea rasmi kiboko ya Makolokolo π.Tuliimiss sana hii mwn.
Yaani wewe bro shenzi sana....teh teh.Basi Chifu nimerejea rasmi kiboko ya Makolokolo π.
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.