Vijana inabidi mkomae akili na fahamu zenu. UJue unafanya maamuzi ya kuingia kwenye chumba cha mkaka na unajivua nguo, umeingia kwa akili zako timamu..........Kama unadhani kwa kufanya unachofanya ndio security ya heshima ujue imekula kwako. Heshima ni kitu kingine, na hicho kitendo ni swala lingine, kwani hata changudua si anaweza kuletwa geto?...Je kama hana hela ya kukupeleka huko lodge....ahangaike wakati geto lipo?
Ha ha ha au unadhani ndio security ya sijui Ndoa imekula kwako mazima. Dunia ni yako, na chaguo ni lako. Kufanya mapenzi ni uchaguzi, kujibembesha mimba ni uamuzi, KUFUNGA NDOA ni MAAMUZI MAGUMU. Kuheshimiwa ni wewe unavyojenga hiyo heshima.
Halafu umesema vizuri kwamba yawezekana kila msichana anayemtaka anamleta geto π
ha ha ha chezea jinsia ya Upinzani wewe..............
Tumia akili...................Fikiri kabla ya kutenda.