Ntakuzibia rizki as in ukipata mwanaume ni biashara eh? Na utachinjaje wakati huna 'kisu'?
hi guys... hope mko pouwa! Kuna mjadala tulikuwa tunajadili siku moja. Eti mwanaume akikupelekwa kwake "kumbuka huyu ni single yaani hajaoa.
Ni kwamba kakuheshimu na ni mwaminifu ndo maana yuko huru kukupeleka kwake. kwa maelezo yao "wanaume ni kwamba et kakuheshime sana" kama hajakuheshimu angekupeleka lodge.
Lakini huyo huyo mwanaume hapo home kwake ndo anawaleta wasichana wote anaodate nao, so hiyo ni heshima au dharau????? Me nililipinga sana hili na wala haliwezi kuwa kigezo cha uaminifu.... Je wadau ninyi mnalionaje hasa ninyi mwanaume
Mwafrika uko juu mkuu,kuchinja ni kuchinja hata kwenye room ya demu unachinjia humohumo.
Sasa kama wewe unachinja unasepa je? Si bora tu kwangu usije? Ha ha ha au nikikuleta kwangu nakuwa nimekuheshimu 😛eep:
Kongosho umejibu kama mwanaume au kama mdada? 🙂
Yaaani mm binti akishaingia gheto tuu awe nimemtongoza sijamtongoza hawezi toka bila kuliwa.