mhh heshima apimwi kiivo lakin weng wao wansemaivo et ahh yule wa kupelekwa gest ...ahh uyu nampeleka geto...but mi idnt believe t anaweza akakupeleka gest na akakuheshimu na akaupeleka home kumbe anakugusa once na anakumwaga....
heshima inakuja badayeeeeeeeeeeeee baada ya kukusoma na akajua msimamowako na tabia zako then ndo utampatiket ya yeye kukudharau au kukuheshimu😛eep:
hii ni kweli kabisa moja ya wanaume ya wasio waaminifu au wanaoogopa commitment ni kutompeleka mwanamke sehemu wanayoishi...hata mi nilikuwa na lijamaa flani hivi basi akawa ananizengua sana kunipeleka maskani kwake..tulispend atleast more than six month tunahang' kwenye mabeach tu lakini lenyewe linakuja kwangu na linaenjoy sana kuja maskani..mwisho wa siku nikaanza kumpotezea taratiibu nayeye akasepa..kumbe lilikuwa na mwanamke mwingine!daah mpaka leo niko makini!
Zinaa ni zinaa tu
iwe kwenu ,kwa mvulana ,au kwa baba mkwe
vijana acheni uzinzi
hii ni kweli kabisa moja ya wanaume ya wasio waaminifu au wanaoogopa commitment ni kutompeleka mwanamke sehemu wanayoishi...hata mi nilikuwa na lijamaa flani hivi basi akawa ananizengua sana kunipeleka maskani kwake..tulispend atleast more than six month tunahang' kwenye mabeach tu lakini lenyewe linakuja kwangu na linaenjoy sana kuja maskani..mwisho wa siku nikaanza kumpotezea taratiibu nayeye akasepa..kumbe lilikuwa na mwanamke mwingine!daah mpaka leo niko makini!
Kongosho umejibu kama mwanaume au kama mdada? 🙂
Kwi kwi kwi kwi.......mbavu zangu.......Uzi huu umenipa asubuhi njema.........kumbe kuliwa mzigo siku hizi ni 'kuwa idiot? Kwa hiyo NA kuchinja ni kuwa idiot?Hivi nyie wadada wa hivyo ni nani aliyewaloga?
Wewe umetongozwa na mkataba wa mahusiano ukausaini. Badala ya kukisoma vizuri kipengele kinachohusu maadili na heshima kabla hujasaini unakurupuka 2 unasign...sasa mmeshakubaliana kwenda kuongeza idadi ya wazinzi na waasherati(regardless ya venue lengo halisi ni kuongeza idadi ya watu wanaomuudhi Mungu)
--Really u want heshima now?
hujamheshimu Mungu
hujaheshimu wazazi waliokuzaa na wakakukuza kwenye maadili mema
hujaheshimu jamii iliyohangaika kukusomesha na kumwaga fedha nyingi tunazokatwa kodi kwenye mishahara ili kupigana na maambukizi ya ukimwi na kuzuia ngono zembe...
Yani ukifanywa (mahali popote hata kama ni kanisani) na hujaolewa- you are an idiot kama unafikiria kuheshimiwa..