Swali kwa wanaume: Kudindisha mara kwa mara ni ishara ya upendo wa dhati kwa mpenzi wako?

Swali kwa wanaume: Kudindisha mara kwa mara ni ishara ya upendo wa dhati kwa mpenzi wako?

Huu ujinga kweli, sasa umeleta huki ili iweje??

Sent from my HUAWEI G615-U10 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume kusimamisha mara kwa mara hata tukiwa sehemu za watu wengi, akiniona tu anadai inasimama, ndio mapenzi ya dhati haya au inakuwajee??

Akiona Kunduva anasimamisha?.. sa kosa liko wapi hapo
 
Huyo itakuwa dunga dunga au ana genye mshindo...mambo ya mjini darisalama hayo

Sent from my GT-I8190 using JamiiForums mobile app
 
ana nyeeee huyo mpe kila siku mpaka ataichoka na hatodindisha ovyo
 
Mwanaume kusimamisha mara kwa mara hata tukiwa sehemu za watu wengi, akiniona tu anadai inasimama, ndio mapenzi ya dhati haya au inakuwajee??
Emh tuone picha yako... inawezekana sio makosa yake

sent from my Iphone 6s using JamiiForums App
 
Dah... Njaa mbaya sana[emoji13] [emoji13]

Sent from my Osborne II using JamiiForums Mobile App
 
Inaelekea unampa vitu adimu sana kiasi kwamba akikuona tuuu mgombea lazima aombe kuraaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] , yaani hata niwe mimi nione zigo la mchumbaaaa popote naaamsha popo cha muhimu tu ulichokivaaa ndo kitatunza siri au kukuumbua
 
Back
Top Bottom