Swali kwa wanaume na wavulana wa jf

Swali kwa wanaume na wavulana wa jf

Ndokeji

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2011
Posts
698
Reaction score
476
Hamjambo wana jf swali. Vitu gani vinavyokuvutia kwa mwanamke mpaka ukampenda ?
 
duh....mie its simple: appearance wise...wen 30 sublime when 60 divine
character: talkative smart respects money not loves money, generous, kind and most importantly awe na mapenzi ya kweli
 
mwelewa, mcha Mungu, mvuto offcoz kiasi, anayejiheshimu
 
Kuna mambo mengi sana kwa kweli katika jambo hili ukisema nieleze nitaandika makala hapa hasa kwa mtu ambaye unataka awe mke.
 
sauti yake!...lol...namsemea mtu jamani,msining'ate!
 
Mimi navutiwa zaidi na CHAKULA CHA MTOTO.
 
inategemea kama ni wakumega tu au wa mahusiano ya kudumu mkuu!
 
duh....mie its simple: appearance wise...wen 30 sublime when 60 divine
character: talkative smart respects money not loves money, generous, kind and most importantly awe na mapenzi ya kweli
Umekua Semenya? Wa South Africa ?
 
Sura yake, sauti tabia, mzigo aloubeba mashaalah, ukarimu wake pia urefu wake
 
Mi bado sijajua mwanamke nimpende kwa kitu gani nipo neutral wote naona sawa tu.
 
Rangii is the first na pendaa au navutiwa na black beaut,[no too much make up or no make up at all],then ajueee kuvyaaa kutokana na mitoka au sehemu,smart kichwaniii na suraaaaaaaaaaaaaaaa hapooo mi hoi,goi goi
 
Back
Top Bottom