wengi wanavutiwa na muonekano wa nyuma zaidi...
Umekua Semenya? Wa South Africa ?duh....mie its simple: appearance wise...wen 30 sublime when 60 divine
character: talkative smart respects money not loves money, generous, kind and most importantly awe na mapenzi ya kweli
Ile kuwa ni mwanamke basi!Hamjambo wana jf swali. Vitu gani vinavyokuvutia kwa mwanamke mpaka ukampenda ?
acha uongo 67% wanavutiwa na sura 18% makalio/mzigo nyuma wengine zilizobaki kama tabia, upole na akili