Swali kwa wanaume na wavulana wa jf

Uwezo wake wa kufikiri na kuchambua mambo, pamoja na tabia yake njema. Hivyo kwangu vinanitosha.:eyebrows:
 
ujue swali lako ni pana sana mana asikwambie mtu mwanamke wa kuoa ana vigezo vyake na wakumega ana vigezo vyake sijui ww unazungumzia yupi?
 
Hamjambo wana jf swali. Vitu gani vinavyokuvutia kwa mwanamke mpaka ukampenda ?

Tabia yake .... Asiwe mcharuko kila m.me anamjuwa yeye.. sura muhimu ... White kimtondo ... Asiwe na masaburi makubwa au matiti makubwa .. French figure kimtindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…