Swali kwa wanaume...

4X4byfar

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
201
Reaction score
21
Za leo wa ndugu,

Naomba niulize, na hili swali ni kwa wanaume hasa, au kama na wanawake wenzangu mnaweza kufahamu nitashukulu michango yenu pia.

Hivi! ni kweli kweli kweli kabisa katika haya maisha ya sasa bila kumpa mumeo/boyfriend/hawala TIGO uhusiano unakuwa hafifu?

Maana kila kona ni TIGO TIGO TIGO! Naona mpaka mwenzangu kaanza hizo dalili za kutaka pia. Kwa kweli nakosa jibu. Nisaidieni tafadhari.
 
Mwenzako yupi? hawara au mkeo? iweka wazi ili tukusaidie.
 
Sio kweli,
Hilo linategeme afinyu wa kufikiri wa watu wenye tabia hiyo. Nawashauri kuepuka jambo hilo. Ni udhalilisahaji wa maumbili asilia. Ndo maana Mungu aliunguza Sodoma na Gomora
 
Ukiombwa mkate toa mkate.
 
Sio kweli kwanza mimi sitaki kabisa mambo ya kugeuza matumizi ya asili ya miili yetu
 
:alien:

http://www.dherbs.com/articles/anal-sex-59.html

Up The Butt - What You Should Know About Anal Sex

Anal intercourse tends to stretch and greatly weaken the anal sphincter muscles, producing energy loss. Anal penetration greatly disturbs the balance of vital forces in the body. The downward-moving vital principle of the anus is greatly reversed due to penetration and can lead to serious digestive problems, constipation, irregularity (of bowel movements), and ultimately to cancer of the rectum. Many homosexual men who constantly take it or get it "up the butt" have to wear diaper-like products to catch their fecal waste liquids that drip from their loose and weakened anus, the same as females wear sanitary pads to catch their menstrual fluid.

Read out more on: Anal Sex Causes Rectal Cancer Bleeding Anus Constipation


"My people are destroyed for a lack of knowledge." Hosea 4:6
 

nilikumiss.....habari za siku?

Nikirudi kwenye mada.......sio lazima kupeana kinyume cha maumbile na ni uchafu......
 

well spoken broda
 
Hiyo ni laana na si swala la wanaume tu, mtoa na mpokeaji wote ndani. Kama mama/gf atakataa, mume/bf tigo ataipata wapi? Nafikiri wanawake haswa ndo wakubana tigo, hiyo ni sodoma.
 
nilikumiss.....habari za siku?

Nikirudi kwenye mada.......sio lazima kupeana kinyume cha maumbile na ni uchafu......
Sijambo shostito,
Ni pilika za hapa na pale mamangu hope nawe pia uko bomba.
 
Hivyo mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu:hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili:wanaume nao vivyo hivyo waliacha matumizi ya mke ya asili;wakawakiana tamaa;wanaume wakiyatenda yasiyopasa,wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao(warumi 1:26,27)
 
Hata vitabu vitukufu vinapinga shida ni picha za x mnazotazama ndio zinawapa tabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…