Swali kwa wanawake na mabinti

Swali kwa wanawake na mabinti

Morgan Fisherman

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
1,819
Reaction score
2,134
habarini wanajamvi

na swali moja huwa sielewi hasa kwenye misiba unakuta wadada na wamama wakilia wanaweka neno " eee tata" hivi huwa lina maana gani?

nawasilisha.
 
habarini wanajamvi

na swali moja huwa sielewi hasa kwenye misiba unakuta wadada na wamama wakilia wanaweka neno " eee tata" hivi huwa lina maana gani?

nawasilisha.
Kwa wanyakyusa wanawake waakilia wanaweka "ejoba ejoba"

Ila kwa wanaume wanalia "etata etata"

Pia kwa wakurya wao wanalia "magenda ndali magenda ndali"
 
Back
Top Bottom