Morgan Fisherman
JF-Expert Member
- Dec 10, 2017
- 1,819
- 2,134
Uko sahihi x kila kabila wanalia hivyo nafikiri wanyakyusa mojawapo huwa wanalia hivyo xjui kabila gani tenPin na mkoa mkuu maana huku nilipo sijawahi wasikia
Kwa wanyakyusa wanawake waakilia wanaweka "ejoba ejoba"habarini wanajamvi
na swali moja huwa sielewi hasa kwenye misiba unakuta wadada na wamama wakilia wanaweka neno " eee tata" hivi huwa lina maana gani?
nawasilisha.
[emoji23]Tata baba,ila hata India Wana tata
wengi hasa dsm na nyanda za juu kusinPin na mkoa mkuu maana huku nilipo sijawahi wasikia
magendaa hyo mpya cjawah ickiaKwa wanyakyusa wanawake waakilia wanaweka "ejoba ejoba"
Ila kwa wanaume wanalia "etata etata"
Pia kwa wakurya wao wanalia "magenda ndali magenda ndali"