Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Habarini,
Hili swali nimewauliza hasa hasa wadada wa humu watoe their honest opinions, ila hata wanaume wa humu mnaweza kujibu,
Kwenye jamii imezoeleka kuwa wadada wanakua na thamani kwenye macho ya wanaume kuanzia miaka 17, thamani yao inakua kwenye peak kati ya miaka 18-23 (kwenye hiki kipindi wanaume wengi sana wanawatongoza), kuanzia miaka 28 thamani ya mwanamke kwenye soko inashuka taratibu akifikia miaka 30+ idadi ya wanaume wanaomtongoza na wenye nia ya kumuoa inapungua.
Tuje kwenye sexual market value ya mwanaume, kwa mimi binafsi nahisi mwanaume pia soko lake linaanza kuwa kubwa akianza balehe, akifikia miaka 30 na kuendelea, uso wake unaanza zeeka, hivyo chances za kuoa mdada mwenye miaka 22 zinapungua, labda awe vizuri kiuchumi. Ila kama mwanaume ana miaka 35 hawezi kukubaliwa na mdada wa miaka 22 coz mdada ataona huyu mkubwa sana kwangu, umri wote alikua wapi hajaoa, uso wa mwanaume umeanza kuchoka/kuzeeka, hivyo inabidi mwanaume atumie pesa ili amshawishi mdada.
Nafikiri mwanaume ukiwa na miaka 18-25 unaweza kuoa kirahisi hata kama huna pesa, huna hela wala kazi rasmi ila unamchukua mdada unamzalisha, mnaanza kuishi ile life ya sogea tukae huku mnaunga unga maisha, ila ukiwa na miaka 35 halafu bado kiuchumi uko hoi, itakua ni ngumu zaidi kwako kufanya hivyo. The only way mwanaume utaweza oa mdada wa miaka 22, ukiwa na miaka 36 ni mpaka uwe vizuri kiuchumi
Au my sisters wa jf mnasemaje Labella To yeye Missy Gf Evelyn Salt Heaven Sent Donatila financial services Midekoo Numbisa Lamomy NAKWEDE