Swali kwa Wanawake wa JF

yes i do, so help YOU god
Under the penalty of perjury, do you believe that, to the best of your knowledge, experience, and belief, that the comments entered above are true, correct, complete, and made in good faith?
<br />
<br />
 
unaielezeaje bunduki yako? Gobole, shortgun au pisto?
...Bwa hhaaa hhaa. hii kali. interview kwanza. Upo kikazi zaidi.
kama ni kibamia inakuwaje??
unatosaa au
 
...I come to life with an Open Mind, Clean Hands, and a Loving Heart.
..and thats your Swagaaaa.
 
kwanz ntahtaji kujua kama ana mahusiano na m2 na kama wameachana ntahtaji kujua kwanini!na sababu situmii pombe swali langu litakalofata ni kama anatumia kinywaji hata kama nitakuwa nimeanza kumpenda kwa mbali 4 sure atanisamehe bure!na kwa upande wangu swala la dini lina nafasi yake sitaki kumpotezea mkaka wa w2 muda kama c mkristo
 
<br />
<br />
Good girl...
 
Aisee kuna wale wasiotumia kinywaji ila ni magwiji kwenye mambo yetu yalee!
 
 
[Samahani, we unaishi wapi na unafanya nini(kazi au mwanafunzi). Maisha yako ya kimapenzi yakoje(kama ana mtu/hana aniambie na kama wameachana ni kwanini), pia ningependa kujua kama unanifahamu au ndo unaniona sasa hivi(pengine labda huwa ananiona ila mi simjui).] Atapata nafasi ya kuulizwa haya maswali endapo hanuki pombe wala sigara!! B'se I never trust pple ambao nakutana nao for the first time, naweza nikampa nafasi ya urafiki(hii ni kwa wale wastaarabu na wasio na papara za ajabu)!! Loh, mi siogopi kuuliza maswali ati hata uje na mkwala wa aje!!!
 
kwa hili sina any particular formular, inategemea na mtu, mazingira na tunavyoconnect na mambo kama hayo
 
...loud and clear
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…