Swali kwa wanywa pombe na walevi

Swali kwa wanywa pombe na walevi

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Naomba kuwauliza walevi na wanywa pombe, hizi hii pombe aina ya Hennessy ina vitu gani special ama vya kipekee?

Maana kila matangazo ya night clubs, bar na lounges zetu hapa Tanzania mitandaoni naona ni Hennessy tuuuu, sioni vinywaji kama Kvant, Konyagi ama viroba.

Kwa kua mimi sio mnywa pombe nimeona niulize labda hii pombe ni maalum ama ina vitu maalum hadi inapata matangazo yote haya.
 
Ni brand kubwa duniani...

Kwanini enzi hizo mlikua mnapreffer maji ya Kilimanjaro na sio "uhai"?
 
😁😁😁
87654.png
 
Naomba kuwauliza walevi na wanywa pombe, hizi hii pombe aina ya Hennessy ina vitu gani special ama vya kipekee?

Maana kila matangazo ya night clubs, bar na lounges zetu hapa Tanzania mitandaoni naona ni Hennessy tuuuu, sioni vinywaji kama Kvant, Konyagi ama viroba.

Kwa kua mimi sio mnywa pombe nimeona niulize labda hii pombe ni maalum ama ina vitu maalum hadi inapata matangazo yote haya.
Kwa hiyo unataka kumfananisha Zari The Boss Lady na Sister P kwasababu tu wote Wana jinsia ya kike?
 
Naomba kuwauliza walevi na wanywa pombe, hizi hii pombe aina ya Hennessy ina vitu gani special ama vya kipekee?

Maana kila matangazo ya night clubs, bar na lounges zetu hapa Tanzania mitandaoni naona ni Hennessy tuuuu, sioni vinywaji kama Kvant, Konyagi ama viroba.

Kwa kua mimi sio mnywa pombe nimeona niulize labda hii pombe ni maalum ama ina vitu maalum hadi inapata matangazo yote haya.
UKIINYWA HUDAIWI MADENI
 
Ohoo.... bei ya kichupa kidogo elfu 40. Konyagi, value na k vant 3000.
 
Naomba kuwauliza walevi na wanywa pombe, hizi hii pombe aina ya Hennessy ina vitu gani special ama vya kipekee?

Maana kila matangazo ya night clubs, bar na lounges zetu hapa Tanzania mitandaoni naona ni Hennessy tuuuu, sioni vinywaji kama Kvant, Konyagi ama viroba.

Kwa kua mimi sio mnywa pombe nimeona niulize labda hii pombe ni maalum ama ina vitu maalum hadi inapata matangazo yote haya.
Quality
Value
Brand
 
Labda nawe mnywa soda na juisi tujiulize, juisi ya Azam na Ceres ipi ni nzuri na Ina bei kubwa?

Au kwa nini mkimywa redbull ndio mnaona mpo classic tofauti na ukinywa Sprite?
 
Back
Top Bottom