The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Kwa hiyo unataka kumfananisha Zari The Boss Lady na Sister P kwasababu tu wote Wana jinsia ya kike?Naomba kuwauliza walevi na wanywa pombe, hizi hii pombe aina ya Hennessy ina vitu gani special ama vya kipekee?
Maana kila matangazo ya night clubs, bar na lounges zetu hapa Tanzania mitandaoni naona ni Hennessy tuuuu, sioni vinywaji kama Kvant, Konyagi ama viroba.
Kwa kua mimi sio mnywa pombe nimeona niulize labda hii pombe ni maalum ama ina vitu maalum hadi inapata matangazo yote haya.
UKIINYWA HUDAIWI MADENINaomba kuwauliza walevi na wanywa pombe, hizi hii pombe aina ya Hennessy ina vitu gani special ama vya kipekee?
Maana kila matangazo ya night clubs, bar na lounges zetu hapa Tanzania mitandaoni naona ni Hennessy tuuuu, sioni vinywaji kama Kvant, Konyagi ama viroba.
Kwa kua mimi sio mnywa pombe nimeona niulize labda hii pombe ni maalum ama ina vitu maalum hadi inapata matangazo yote haya.
QualityNaomba kuwauliza walevi na wanywa pombe, hizi hii pombe aina ya Hennessy ina vitu gani special ama vya kipekee?
Maana kila matangazo ya night clubs, bar na lounges zetu hapa Tanzania mitandaoni naona ni Hennessy tuuuu, sioni vinywaji kama Kvant, Konyagi ama viroba.
Kwa kua mimi sio mnywa pombe nimeona niulize labda hii pombe ni maalum ama ina vitu maalum hadi inapata matangazo yote haya.
πππ ko Jagermeister ndio HAGAmaster?Henes inaimarisha akili hasa kwenye utafutaji wa pesa ikiwemo HAGARMASTER
Hagarmaster ndo ipoje hiyo mkuu?Henes inaimarisha akili hasa kwenye utafutaji wa pesa ikiwemo HAGARMASTER