Swali kwa Wanywaji (Walevi)

Swali kwa Wanywaji (Walevi)

Kwanini Walevi huwa mnahama hama kwenye Mabaa, yani unakuta leo unakunywa baa hii after a while upo Baa nyengine.

sababu huwa ni nini?
Sina jibu la direct lakn nahisi ni kampani tu na vibes,,,, ! Kula/kunywa sehemu moja tu unazoeleka hovyo na watu/wahusika wa hapo unapoenda daily!

Pia kubadili mazingira n.k !

Kwa wazee wa Totoz wanakuambia kuwa wanaenda kuosha macho ,,,,

Hushangai chimbo jipya huwa linajaza sana ? Hizo sababu hapo juu zinatanabaisha
 
Tangu nikoswe koswe na chupa siendi tena bar,nanunua bia zangu najifungia zangu chumba pekee yangu watoto wasinione nazichapa
 
Back
Top Bottom