Swali kwa wasiokuwa waislam? Haya hamutaki kuyapata?

إِنَّ الَّذِينَ يَرْمُونَ الْمُحْصَنَاتِ الْغَافِلَاتِ الْمُؤْمِنَاتِ لُعِنُوا فِي الدُّنْيَا وَالْآخِرَةِ وَلَهُمْ عَذَابٌ عَظِيمٌ ﴿٢٣﴾

23. Hakika wale wanaowasingizia machafu wanawake watwaharifu, walio mbali na hayo, Waumini, wamelaaniwa duniani na Aakhirah na watapata adhabu kuu.[7]

يَوْمَ تَشْهَدُ عَلَيْهِمْ أَلْسِنَتُهُمْ وَأَيْدِيهِمْ وَأَرْجُلُهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ ﴿٢٤﴾

24. Siku zitakaposhuhudia dhidi yao ndimi zao, na mikono yao, na miguu yao kwa yale waliyokuwa wakiyatenda.[8]


يَوْمَئِذٍ يُوَفِّيهِمُ اللَّـهُ دِينَهُمُ الْحَقَّ وَيَعْلَمُونَ أَنَّ اللَّـهَ هُوَ الْحَقُّ الْمُبِينُ ﴿٢٥﴾

25. Siku hiyo Allaah Atawalipa kikamilifu malipo yao ya haki, na watajua kwamba Allaah Ndiye wa Haki, Mwenye Kubainisha.

Kiongozi usihukumu dini kupitia tabia za watu kadhaa,wawe wengi au wachache, hata huko kwenye dini zenu wapo waovu ila hatutukan dini kwasababu ya waovu wachache muogope allah aliekuumba rudi katika njia ya sawa allah anasameh madhamb yote kama alivyosema kweny qur an
قُلْ يَا عِبَادِيَ الَّذِينَ أَسْرَفُوا عَلَىٰ أَنفُسِهِمْ لَا تَقْنَطُوا مِن رَّحْمَةِ اللَّـهِ ۚ إِنَّ اللَّـهَ يَغْفِرُ الذُّنُوبَ جَمِيعًا ۚ إِنَّهُ هُوَ الْغَفُورُ الرَّحِيمُ﴿٥٣﴾

53. Sema: Enyi Waja Wangu ambao wamepindukia mipaka juu ya nafsi zao: Msikate tamaa na Rehma ya Allaah, hakika Allaah Anasamehe dhambi zote. Hakika Yeye Ndiye Mwenye Kusamehe, Mwenye Kurehemu.[

سورة الزمر
 
Janja ya nyani kula Hindi bichi!
Kama ww ni Muumini weka haya ustz!😆😆😆
Hivi allah anaposema Waislamu woote wataenda jehannam Waisilamu wanaona anafanya maskhara eeh
👇👇
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

[ MARYAM - 71]
Na hakuna yeyote katika nyinyi ni Mwenye kuifikia jehannam. Hiyo ndiyo hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.

Imepokewa kutoka kwa Anas: Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema: “Watu watatupwa Motoni na jehannam itasema: Jee Kuna ziada na ije! (Quran.50.30) mpaka Allah atakapoweka Mguu wake juu yake, na jehannam itasema: Qati! Qati! (Yatosha!)

Sahih al-Bukhari 4848 Sahih al-Bukhari 4848 - Prophetic Commentary on the Qur'an (Tafseer of the Prophet (pbuh)) - كتاب التفسير - Sunnah.com - Sayings and Teachings of Prophet Muhammad (صلى الله عليه و سلم)

Kama kuna anaebisha kwamba Allah Maskani yake sio jehannam Tuwekeeni Ushahidi Aliutoa mguu wake jehannam!🎤

allah Hana Maskhara na mtoto wa Mtu! Alimuua muhammad Kwa kumkata mshipa mkuu wa Moyo baada ya kuzua zua uongo!
👇👇
وَلَوْ تَقَوَّلَ عَلَيْنَا بَعْضَ الْأَقَاوِيلِ

(AL - H'AAQQAH - 44)
Na lau kama angeli tuzulia baadhi ya maneno tu,

لَأَخَذْنَا مِنْهُ بِالْيَمِينِ

(AL - H'AAQQAH - 45)
Bila ya shaka tungeli mshika kwa mkono wa kulia,

ثُمَّ لَقَطَعْنَا مِنْهُ الْوَتِينَ

(AL - H'AAQQAH - 46)
Kisha kwa hakika tungeli mkata mshipa mkubwa wa moyo!
فَمَا مِنكُم مِّنْ أَحَدٍ عَنْهُ حَاجِزِينَ

(AL - H'AAQQAH - 47)
Na hapana yeyote katika nyinyi ambaye angeli weza kutuzuia.

Kabaki analia Lia!
👇👇
Sahih al-Bukhari 4428
Imepokewa kutoka kwa Aisha:

Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) katika maradhi yake aliyofariki, alikuwa akisema: “Ewe Aisha! Bado nahisi maumivu ya chakula nilichokula pale Khaibar, na wakati huu nahisi kana kwamba mshipa wangu wa moyo unakatika. kutokana na sumu hiyo."

وَقَالَ يُونُسُ عَنِ الزُّهْرِيِّ، قَالَ عُرْوَةُ قَالَتْ عَائِشَةُ ـ رضى الله عنها ـ كَانَ النَّبِيُ َّ لُمْ ِي فَلَّ لَ يَا سَلَّعْ فَلَى ضِهِ الَّذِي مَاتَ فِيهِ ‏ "‏ يَا عَائِشَةُ مَا أَزَالُ أَجِدُ أَلَمَ الطَّعَامِ الَّذِي أَكَلِشَةُ بِخَتَفَّتُ تَبَّعَمِ الَّذِي انْقِطَاعَ أَبْهَرِي مِنْ ذَلِكَ السَّمِّ ‏" ‏
Rejea : Sahih al-Bukhari 4428
Rejeleo la ndani ya kitabu : Kitabu cha 64, Hadith 450
 
وَلَا تَقْفُ مَا لَيْسَ لَكَ بِهِ عِلْمٌ ۚ إِنَّ السَّمْعَ وَالْبَصَرَ وَالْفُؤَادَ كُلُّ أُولَـٰئِكَ كَانَ عَنْهُ مَسْئُولًا ﴿٣٦﴾

36. Na wala usifuate usiyo na ilimu nayo. Hakika masikio na macho na moyo; vyote hivyo vitaulizwa.


قُلْ إِنَّمَا حَرَّمَ رَبِّيَ الْفَوَاحِشَ مَا ظَهَرَ مِنْهَا وَمَا بَطَنَ وَالْإِثْمَ وَالْبَغْيَ بِغَيْرِ الْحَقِّ وَأَن تُشْرِكُوا بِاللَّـهِ مَا لَمْ يُنَزِّلْ بِهِ سُلْطَانًا وَأَن تَقُولُوا عَلَى اللَّـهِ مَا لَا تَعْلَمُونَ ﴿٣٣﴾

33. Sema: Hakika mola wangu Ameharamisha machafu ya wazi na ya siri, na dhambi, na dhulma[5](ukandamizaji) bila ya haki, na kumshirikisha Allaah kwa ambayo Hakuyateremshia mamlaka, na

(kusema juu ya Allaah yale ambayo hamyajui.)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…