Swali kwa wataalam wa vyombo vya moto

Mwalaye

Senior Member
Joined
Jun 17, 2021
Posts
171
Reaction score
233
Hivi engine Oil, Diezel/Petrol ukiachilia mbali milage, Ina Expiry date?
 
Unamaanisha ikiwa kwenye engine au ikiwa kwenye dumu??

Ikiwa mpya kwenye dumu angalia kuna tareh ya kutengeneza na expiry date
 
Kwani Oil ni Organic au Non Organic, akili ndogo inanambia vitu organic vina relation na expiration, lakini non living are things which just exists labda itokee combustion, but it will stay
 
Hivi engine Oil, Diezel/Petrol ukiachilia mbali milage, Ina Expiry date?
Mara nyingi hizi mineral oil zina expire baada ya miaka 5 since manufacturer day Ila synthetic oil nyingi zinakaa hata miaka zaidi ya 7 bila kupoteza viscosity yake
 
Th
Mara nyingi hizi mineral oil zina expire baada ya miaka 5 since manufacturer day Ila synthetic oil nyingi zinakaa hata miaka zaidi ya 7 bila kupoteza viscosity yake
Thank you Sir!
 
Mara nyingi hizi mineral oil zina expire baada ya miaka 5 since manufacturer day Ila synthetic oil nyingi zinakaa hata miaka zaidi ya 7 bila kupoteza viscosity yake
Uko sahihi kabisa Mkuu japo mimi nimegugo tu

"Most conventional oil brands will have a shelf life of about 5 years. Synthetic oil and synthetic blend oil will last about 7-8 years, and maybe even longer. If you cannot find the expiry date, make sure you use up any half-opened or unopened motor oil bottles within 2-5 years of the manufacturing date."
 
Safi sana! Nimependa sana hii Mkuu.
Natumaini wengi wamefaidika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…