wilcoxon
JF-Expert Member
- Jun 25, 2017
- 1,142
- 2,947
Habari za majukumu wanajamvi? Naomba niende moja kwa moja kwenye maada husika. Naomba ufafanuzi wa maswali mawili kuhusu mwezi.
1. Kwanini huu mwezi ambao ni duara kuna kipindi huwa unaonekana nusu duara?
2. Kuna nyakati huu mwezi huwa unabadirika mwenekano wa ukubwa na rangi, mara nyingi unapokuwa mashariki huwa unaonekana ni mkubwa na rangi yake inakuwa kama vile njano fulani hivi, swali nini kinasababisha yote hayo?