Mimi naona nusu kwa sababu mwezi huwa unalitegemea jua kung'aa kwake, hivyo jua likiwa limekingwa kidogo na dunia ndiyo maana mwezi huwa unaonekana nusu.Chanzo cha hiyo nusu ni nini mkuu?
Lakini mkuu kuna wakati huwa tunaiona duara yote ya mwezidah ndugu zangu ebu fikilini kdg mwezi ni duara unataka uuone mzima mzima unawezaje kuona kitu cha duara kizima tena chenye ukubwa sawa na dunia uliomo kitu cha duara siku zote huone upande unao uangalia lazima uone kikiwa nusu uwezi tazama duara yote kwa ukubwa wake ulio sahihi km unatumia macho yako wew binadamu kutazama
Lakini Mkuu kuna sehemu nimesoma ukubwa wa mwezi ni 27% ya ukubwa wa dunia yani kwa lugha nyingine unahitaji miezi minne ili kufikia ukubwa wa dunia, swali sasa kwanini kivuli cha dunia kinapofunika mwezi huwa tunaona nusu kwanini isiwe pungufu ya hiyo nusu maana kwa ukubwa dunia ni kubwa kuliko mwezi na maelezo ya hayo kivuli yangekuwa na mantiki kama dunia na mwezi vingekuwa na ukubwa sawaMwezi huonekana nusu wakati mwingine kwa sababu ya kivuli cha dunia kufunika eneo lililobaki
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwezi huonekana nusu wakati mwingine kwa sababu ya kivuli cha dunia kufunika eneo lililobaki
Kwahyo mwezi ni duara jua ni mviringo?dah ndugu zangu ebu fikilini kdg mwezi ni duara unataka uuone mzima mzima unawezaje kuona kitu cha duara kizima tena chenye ukubwa sawa na dunia uliomo kitu cha duara siku zote huone upande unao uangalia lazima uone kikiwa nusu uwezi tazama duara yote kwa ukubwa wake ulio sahihi km unatumia macho yako wew binadamu kutazama
Kwahyo mwezi ni duara jua ni mviringo?
vyote ni duara na hata jua wew ujawai liona lote,yaani mbele na nyuma unaona duara upande uliopo tu ebu fikili kdg,unawezaje kuona kitu chote cha mviringo au duaraKwahyo mwezi ni duara jua ni mviringo?
uwezi ona duara yote unaona upande mmoja wa duara ndio maana ya nusu duara,mfano chukua goroli itazame uwezi iona yote bila ya mzunguluko utaona upande unaotazamaLakini mkuu kuna wakati huwa tunaiona duara yote ya mwezi
NenoMajibu ya maswali yote yapo Google mkuu. Kama tatizo ni lugha kuna Google translate ni msaada tosha. Huko ndiko kuna wataalamu wa anga yaani NASA wanaweza kukupa majibu ya uhakika ya maswali yako.