Ni mchina kwenda mbele sababu;
1. Angekua na mwili Original angekuwa anavaa vimini pia na nguo za kulingishia zaidi mwili wake,
2. Angalia hii picha chini, toka lini tacko linaanzia karibu na nyuma ya goti?? Tacko original linaanzia kwenye glutes!
View attachment 578523
Angalia tacko origina hili hapa chini, tacko halijaanzia nyuma ya goti, lineanzia juu kabisa ya paja la nyuma.
View attachment 578546